KBC Video ›› Mirindimo ya kisiasa yazidi kutolewa Mlima Kenya
Mchecheto wa kisiasa katika ukanda wa Mlima Kenya umeendelea kushika kasi huku baadhi ya viongozi kutoka eneo hilo wakionekana kutoa hisia zao kuhusu hali ilivyo nchini. katika hafla ya leo ya mazishi ya nduguye gavana wa Meru Kawira Mwangaza, Eric Kimathi …